Heri ya siku yako kubwa ya kumbukumbu ya kuzaliwa Mkuu Compact, Mungu akupe maisha marefu na uweze kumtumikia, ujue kusudi la Mungu maishani mwako, akujalie Hekima na Amani.
Hongera dada/mama Neema kwa malezi mema na upendo Mungu amjalie maisha marefu na baraka.
Mama Apumzike kwa Amani, Mungu alimpenda sana na akimuhitaji Mbinguni aimbe na Malaika milele.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.