Happy birthday to me ShesRise_1 ♥️

Maisha marefu kwako
 
Kama umevaa dera kaa back bench lakini kama umevaa outfit 👌 sogea high table na vurugu uache, humu hakuna Chapati na maharage usitie aibu tu
akuuuu mwenzangu hiyo high table natafuta nini wakati nimetupia mdera wenye mpasuo mpka kunako😜, najisimamia zangu hapa karibu na mlangoni mpka mda wa chakula nijibebee vipaja nikafanye mboga💃😉
 
Bora kusiwe na wakili. Ata haribu kesi
Yaani aibu sana hii serikali na watumishi wao. Profesa Musa Assad alishasema asilimia 60 ya watumishi wa umma hawana sifa za kufanya kazi serikali.

Aliyekuwa Waziri wa Utumishi Simbachawene alisema asilimia 40 ya watumishi wa umma ni mizigo ndio kama huyu Wakili 😅😅😅
 
Na serikali inakumbatia watu wa kariba hiyo ili waweze kuwa under control. Kuna kesi nadhani mawakili wa TLS wamefungua kupinga mawakili wasio na vigezo kuwepo kwenye mfumo. Ushahidi upo nje nje kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…