Clark cian
Senior Member
- Jul 3, 2021
- 199
- 226
Happy birthday dadaHeri ya mwaka mpya kwangu. ❤️
Huu ni mwaka mwingine kwenye maisha yangu 🤗
Katika mwaka huu mpya, nazika ya kale yasiyo na manufaa
Nikibeba tu mafunzo yaliyonijenga
Sitaki tena kubeba maumivu ya yaliyopita wala kujilaumu kwa mambo ambayo tayari yamepita
Nataka kuishi sasa, kuchukua hatua sasa na kujijengea maisha ninayoyataka
Naingia kwenye mwaka huu nikitambua kuwa THAMANI yangu ni KUBWA NDIYO KUBWA
Sitapoteza nguvu zangu kwa mambo yanayojaribu kuninyong’onyeza au kunifanya nijione mdogo
Nitajikita kwenye ukuaji wangu, amani yangu na watu wanaonithamini !!
Nasafisha moyo wangu na kuanza upya
Mwaka huu nachagua mimi
Nachagua amani yangu
Nachagua ukuaji wangu
Nachagua watu wanaonithamini
Nainuka
Ninakua
Ninashinda
Ninakuwa kila kitu ninachotamani kuwa 👑✨
Happy birthday ShesRise_1 🎂♍️❤️✨ 28.8.199!
Happy birthday to myself ♥️
Shukran sana 🙏Happy birthday dada
asante kwa ushauri mshua, hili nimelibeba sema dah tutafute hela tu😄😄😄Nenda jikoni kuna ile mifuko ya salfeti Sokoni Connection kachukue ubebe mpaka mabaki utawaambia walinzi chakula cha Kuku na bata . Kitakusaidia breakfast 😋 kesho
Ungesema tu upo kwenye daladala 😆Nipo kwenye daladala gari yangu imepata pancha 😂😆
ShesRise_1 alicho nifanyia ipo siku atalipwa kwa namna moja ama nyingine. Wakishirikiana na mshauri wake mshangazi binti kiziwi I layed my feelings and kicked me to the curveHii ni sinema zetu hakika ni zakwetu, wewe unampendaje mtu ambaye ujawahi kumuona
Shukran 🙏Happy-go-lucky To You ShesRise
Hahahaha ndiyo maana nimeanza na daladala 😂😆 afu nilipokaa na watu wako wanono najitathmn naona mwili wangu ni paja la mtu mmoja 😆😅Ungesema tu upo kwenye daladala 😆
Gari hiyo vipi🤣
Asante sana 🙏Maisha marefu
Umekaa na akina abujubuju 😆Hahahaha ndiyo maana nimeanza na daladala 😂😆 afu nilipokaa na watu wako wanono najitathmn naona mwili wangu ni paja la mtu mmoja 😆😅
Acha kabisa madam najiona km njiwa 😅😆Umekaa na akina abujubuju 😆
There is tomorrow, usikae kinyonge. Believe in yourself 😊Acha kabisa madam najiona km njiwa 😅😆
asante kwa ushauri mshua, hili nimelibeba sema dah tutafute hela tu😄😄😄
Mkuu kwema ?Cheers to another year of laughter and joy ShesRise_1
Kwema kabisa mkuu,habari za siku?Mkuu kwema ?
Wewe ni kimbaumbau 😅😅Acha kabisa madam najiona km njiwa 😅😆
Cheers 🥂 🔥Cheers to another year of laughter and joy ShesRise_1
Salama Mkuu kitambo hatujawasiliana aisee mimi niko poaKwema kabisa mkuu,habari za siku?
Na zawadi unapokea?Cheers 🥂 🔥
Thank you 😊