ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #41
Shukran ๐Hongera.... Be Blessed! mkuu
mie nimeamka poa kabisa,nafurahi kusikia kama umeamka salama, sijamuona win-oneNimeamka salama kabisa ๐
Sijui wewe mkuu
Asanteee sana baby girl cha fujobirthday wishes mcute, mlove,msweet,a.k.a twin ake Marcostilone mi nawapenda bureee๐ป,,, Mungu akusaidie kukamilisha malengo yako yalobaki bby G๐๐
oooh naaanza kuzeekaYupo angalia vizuri utamuona
Shukran sana ๐Mungu akupe amani ya moyo. Wako na familia yako!
Utu uzima dawaoooh naaanza kuzeeka
safi kama umejaa tele kama pishi la mchelenipo nimejaa teleeeeee
Ukorofi utaacha lini mahi๐ ๐คฃNimecheka kuona watu wanapendana kwenye bundle langu la 350
naaamUtu uzima dawa
lakini mi sio cha fujo ila ni mtu wa heka heka yani sitaki utulivu๐ ๐ ๐ ๐Asanteee sana baby girl cha fujo
Tunakupenda pia ๐ค
๐ ๐ ๐ ,, karibu kwenye party ya birthday girl ila utakua mgeni wangu sio wa shessafi kama umejaa tele kama pishi la mchele
Kumbe unajijua diha wangu๐คฃlakini mi sio cha fujo ila ni mtu wa heka heka yani sitaki utulivu๐ ๐ ๐ ๐
si ndio๐ ๐ ๐ ๐ naachaje kwa mfanoKumbe unajijua diha wangu๐คฃ
hahahahahalakini mi sio cha fujo ila ni mtu wa heka heka yani sitaki utulivu๐ ๐ ๐ ๐
ahsante sana,nimekaribia ,nipe location, nibebe na zawadi kabisa๐ ๐ ๐ ,, karibu kwenye party ya birthday girl ila utakua mgeni wangu sio wa shes