Happy birthday to me ShesRise_1 ♥️

HBD young girl, sikupangii, lakini hakikisha unapata muda hata masaa matatu ya kutafakari na kupata majibu na wenda muelekeo mpya maisha yako.
Hakikisha unapata wazo lolote jipya chanya kuhusu maisha yako. Linaweza kuwa ni kuhusu kazi, biashara au mipango, au vyovyote vile. 😊
Hakikisha siku ya leo, sio tuu unafurahi lakini unaboresha mikakati ya maisha kifikra, kiakili na kimwili.
Nakutakia kila la kheri binti.
 
Asante sana 😊
Nimeupokea ushauri wako kwa moyo mkunjufu na kwa kweli nimeufurahia sana
Nitaufanyia kazi Shukran sana 🙏
 
Happiest birthday to you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…