ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #161
Wow nipo nasubiri sato na sangara kwa wivu mkubwa sana πAsante, next month ni mwaka wangu mpya. Utakula sato au sangara. π
Hivi wewe πMburaaaaaaaa
Hahaha mie ni Mshua sio mtoto wa kishua lakini, tunataka ustaarabu kwenye hii party , lasivyo nitamuamuru Wakili Ajuaye awape kesi ya UGAIDI πtuna wachangamsha nyie watoto wa kishuaπ π
Aisee inauma vibaya sana wewe kulezea hisia halisi halafu uambiwe unaleta dramaπ’. AiseeLoh kumbe
Mi naona yupo serious
Hadi nkamwonea huruma
oya kumbe wew ndo mshua mwenyew, nimefurahi kukufahamHahaha mi ni Mshua sio mtoto wa kishua lakini, tunataka ustaarabu kwenye hii party , lasivyo nitamuamuru Wakili Ajuaye awape kesi ya UGAIDI π
ππ mkuu huyo wakili wa serikali yetu hachomoki apo na Winnie atajitetea mwenyeweHahaha mie ni Mshua sio mtoto wa kishua lakini, tunataka ustaarabu kwenye hii party , lasivyo nitamuamuru Wakili Ajuaye awape kesi ya UGAIDI π
π€£π€£π€£oya kumbe wew ndo mshua mwenyew, nimefurahi kukufaham
aaah huyo ajue chenga tu
eh na wew umeona eeehπ πππ mkuu huyo wakili wa serikali yetu hachomoki apo na Winnie atajitetea mwenyewe
nimeelewa mshua, nioneshe kiti changu kipo wapi basi nikachillπππ€£π€£π€£
Tutakuletea Mkuu wao, kaa kwa kutulia basi kwenye party
Huyo wa ukerewe anadili na samaki wa kubwa hawa tuwaitie yule kamanda motoAu unasemaje ShesRise_1 hawa wanaoleta fujo wakina win-one tuwaitie ZCO Mwaf***e awape kesi ya Ugaidi ? π€£
Kama umevaa dera kaa back bench lakini kama umevaa outfit π sogea high table na vurugu uache, humu hakuna Chapati na maharage usitie aibu tunimeelewa mshua, nioneshe kiti changu kipo wapi basi nikachillππ
Bora kusiwe na wakili. Ata haribu kesieh na wew umeona eeehπ π
Asante mkuu ππHappy birthday. Hongera kwa kuongeza mwaka karibu uzeeni