Happy birthday to me

Happy bd to youx3 dear Mshana jr., Happy BD to youuuuuuuu. How old are you now???????
 
Heri ya siku ya kuzaliwa mwenyezi Mungu azidi kukupa maisha marefu nimejifunza vingi kutoka kwako hapa jukwaani mkuu
 
Kheri ya siku yako ya kuzaliwa. Mwenye Mamlaka ya Juu akuepushe na mabalaa yote mbele na nyuma yako na zaidi akuongezee umri Mrefu zaidi
 
Kheri ya siku yako ya kuzaliwa. Mwenye Mamlaka ya Juu akuepushe na mabalaa yote mbele na nyuma yako na zaidi akuongezee umri Mrefu zaidi
Aaaamen
 
happy birthday Mshana Jr, hapa kijijini kwetu hatuna cake please pata mchemsho wa ndizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…