Happy birthday to me

Happy birthday to me

[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeipokea kwa mikono miwili tumefundishwa kushukuru kwa kila jambo


Zilibaki mbili tu.......sasa hii ingine ni balaa zaidi

enhanced-26343-1413327721-22.jpg
 
Happy bd to youx3 dear Mshana jr., Happy BD to youuuuuuuu. How old are you now???????
 
Heri ya siku ya kuzaliwa mwenyezi Mungu azidi kukupa maisha marefu nimejifunza vingi kutoka kwako hapa jukwaani mkuu
 
Kheri ya siku yako ya kuzaliwa. Mwenye Mamlaka ya Juu akuepushe na mabalaa yote mbele na nyuma yako na zaidi akuongezee umri Mrefu zaidi
 
ImageUploadedByJamiiForums1464775421.249306.jpg
happy birthday Mshana Jr, hapa kijijini kwetu hatuna cake please pata mchemsho wa ndizi.
 
Back
Top Bottom