Leo ndo siku yangu ya kuja duniani
Nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea mpaka nimefikia hapa nilipo
Nashukuru kwa malezi yenu ya kiroho,kimwili na kiimani
Ninawatakia na wote waliozaliwa leo wawe na furaha na amani katika mioyo yao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.