Happy birthday to me

Happy birthday to me

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,658
Reaction score
8,994
Wakuu habari za weekend nachukua fursa hii kumshukuru Mungu kwa kuniongezea mwaka mwingine hapo jana tar 18/11 Najitakia maisha marefu yenye heri na baraka by the way sikupost jana sababu nilikuwa safarini
 
Happy birthday to you na pole kwa safari
 
Heri ya kuzaliwa tena mkuu. Mungu akuongezee maisha marefu, miaka 100 inakutosha!!
 
Ni kwa Rehema na Neema zake Mungu tungali wazima. Mungu ni mwema na hakika atakupigania. Happy birthday to you
 
Back
Top Bottom