..Dah...miaka inazidi kukatika tu..ulipanga kufanya nini na umekwisha fanya nini....πNi jambo la kumshukuru MUNGU kufikisha mwaka mwingine nikiwa mzima wa afya, niungane na wote waliozaliwa siku kama ya leo tutakiane heri ya siku ya kuzaliwa.
[emoji322] [emoji322] [emoji482] [emoji512] [emoji512]
Ni jambo la kumshukuru MUNGU kufikisha mwaka mwingine nikiwa mzima wa afya, niungane na wote waliozaliwa siku kama ya leo tutakiane heri ya siku ya kuzaliwa.
[emoji322] [emoji322] [emoji482] [emoji512] [emoji512]