Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Dah...miaka inazidi kukatika tu..ulipanga kufanya nini na umekwisha fanya nini....🙂Ni jambo la kumshukuru MUNGU kufikisha mwaka mwingine nikiwa mzima wa afya, niungane na wote waliozaliwa siku kama ya leo tutakiane heri ya siku ya kuzaliwa.
[emoji322] [emoji322] [emoji482] [emoji512] [emoji512]
Ni jambo la kumshukuru MUNGU kufikisha mwaka mwingine nikiwa mzima wa afya, niungane na wote waliozaliwa siku kama ya leo tutakiane heri ya siku ya kuzaliwa.
[emoji322] [emoji322] [emoji482] [emoji512] [emoji512]