Uongezeke kiumri na hekimaKesho ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Naamini nitakuwa nimeongezeka busara na hekima badala ya namba za umri na kukomaa kwa ngozi tu.
Sijajua nitamalizaje siku yangu ya kesho lakini lazima itaanzia ibadani.
Nawatakia kila la kheri kwenye sikukuu ya Noeli hapo kesho
Pia uiheshimu hiyo siku maana umeunganishwa na Mutu muzito Emanuel japo sio siku yake halisi ya kuzaliwa...naweza sema ni siku maalum ya kujikumbusha jinsi alivyozaliwa....utulivu, upendo, hekima na uchaji wa Mungu uvipe kipaumbele siku hiiiAmina mkuu
Kweli mkuuPia uiheshimu hiyo siku maana umeunganishwa na Mutu muzito Emanuel japo sio siku yake halisi ya kuzaliwa...naweza sema ni siku maalum ya kujikumbusha jinsi alivyozaliwa....utulivu, upendo, hekima na uchaji wa Mungu uvipe kipaumbele siku hiii