EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,100
Kesho ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Naamini nitakuwa nimeongezeka busara na hekima badala ya namba za umri na kukomaa kwa ngozi tu.
Sijajua nitamalizaje siku yangu ya kesho lakini lazima itaanzia ibadani.
Nawatakia kila la kheri kwenye sikukuu ya Noeli hapo kesho
Sijajua nitamalizaje siku yangu ya kesho lakini lazima itaanzia ibadani.
Nawatakia kila la kheri kwenye sikukuu ya Noeli hapo kesho