Ahsante sana yupo hi kwanza yeye ndiyo kanishtuaaaHongera sana kwa kutimiza siku ya kuzaliwa. Kama mzazi wako yuhai basi ni vyema leo ukampe zawadi.....Maana siku ya leo mama yetu alikuwa dunia nyingine....Hongera sana kwako na mzazi wako.........
Akikujibu fanya kuntag.HBD,
Umeolewa?
Same to you my loveHappy Birthday to you
ThanksThank u my twins happy bday too
Dah....Kikanuni... Bongo maisha yapo 80% ya maisha ya kawaida....23 x 80% = 18 🙂🙂Yani wewe jina lako Lina maanisha unachokiwazaaa unauhakikaa??
HahahahaAhsanteee sasa tumeni zawadiii hayo maneno yanatoshaaa[emoji85]
Ila una msebule[emoji3] [emoji3]Ahsantee ...
Hapanaa