Happy birthday to me

Happy birthday to me

392ab9176b4a6a0e9dad70bbf4fbd924.jpg


Happy birthday my twin
 
Hongera sana kwa kutimiza siku ya kuzaliwa. Kama mzazi wako yuhai basi ni vyema leo ukampe zawadi.....Maana siku ya leo mama yetu alikuwa dunia nyingine....Hongera sana kwako na mzazi wako.........
Ahsante sana yupo hi kwanza yeye ndiyo kanishtuaaa
Love you mum love more and more
 
Happy Birthday mrembo wa Kichagga. Ujaliwe maisha marefu mbeleni.
 
Mi sitoi wishes zozote mpaka nijue mustakabali wa keki kwanza
 
Back
Top Bottom