Huyu mbilikimo kavumilia leo kumwambia amfuate pm mana akiona picha za warembo hzo ndo ugonjwa wake
Mmmmmmhhhh???? Mbilikimo ndo nani?Huyu mbilikimo kavumilia leo kumwambia amfuate pm mana akiona picha za warembo hzo ndo ugonjwa wake
We queens and kings so lazima tuwe aggresiveI love leo[emoji753]people ile aggressive behavior gaddammee... HBD TO YOU CUTEE
Anajijua mwenyew subir utamwona akija kujibu hiyo comment apoMmmmmmhhhh???? Mbilikimo ndo nani?
Anajijua mwenyew subir utamwona akija kujibu hiyo comment apo
Hahaha .
Kalete fimbo mbili harakaAnajijua mwenyew subir utamwona akija kujibu hiyo comment apo
Asprin shehe maalimu alhaji.Ni siku njema kwangu na ya furaha sana, nimeongeza mwaka mwingine. Ahsante Mungu kwa upendo wako. Happy Birthday to me !
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu wewe mimi sio mbilikimo kama kaka yako mpare mshana.Huyu mbilikimo kavumilia leo kumwambia amfuate pm mana akiona picha za warembo hzo ndo ugonjwa wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Afu wewe mimi sio mbilikimo kama kaka yako mpare mshana.
Mimi ni tolu waylize mateja wote wa mwananyamala kuanzia studio wote wanangu.
Afu jirani yako daby ananijua sana nilivyokuwa na dunk dunk kwenye kikapu (basket ball) a level tanga.
Afu wewe andunje leo hii unaniita mbilikimoooooo???? Hahah afu jina la andunje limekukaa kweli yani. Hahah
Wewe umekoseaaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc BIGstallion alikua anaulizia mbilikimo ndo nani
HahahahaWewe umekoseaaa.
Ungemwambia mbilikimo ni mshana. Ili aende akamtanie au amcheke aone kama hataamka na busha la shingoni wanaliitaga goita
Daby ni kweli au anajisifia tu apa ili afuatwe pm?Afu wewe mimi sio mbilikimo kama kaka yako mpare mshana.
Mimi ni tolu waylize mateja wote wa mwananyamala kuanzia studio wote wanangu.
Afu jirani yako daby ananijua sana nilivyokuwa na dunk dunk kwenye kikapu (basket ball) a level tanga.
Afu wewe andunje leo hii unaniita mbilikimoooooo???? Hahah afu jina la andunje limekukaa kweli yani. Hahah
Ataogopa kujibu.Daby ni kweli au anajisifia tu apa ili afuatwe pm?
Kwamba anakuogopa au?Ataogopa kujibu.
U head prifekti zamaan sasa unafikir anakuogop tena....sahv unacheo gani tena hadi akuogope we adunje anakupa tu makwenzi[emoji3] [emoji3]