Happy Birthday to me !

Happy Birthday to me !

SimbaDume anakutakia heri katika kumbukumbu yako ya kuzaliwa. Badae tukutane Serengeti National Park kuna kazawadi ka Swala kalikonona, fanya kuwahi uje kukaua mwenyewe.
 
Ni siku njema kwangu na ya furaha sana, nimeongeza mwaka mwingine. Ahsante Mungu kwa upendo wako. Happy Birthday to me !

Sent using Jamii Forums mobile app
4ce29406ad28bcf600767ffb45ff0536.jpg
Asprin shehe maalimu alhaji.
Hili goma unaliona kweli ama upo huko chit chat unapoteza muda badala ya kuja huku kufanya mambo ya maana.
Cc
Daby
 
Huyu mbilikimo kavumilia leo kumwambia amfuate pm mana akiona picha za warembo hzo ndo ugonjwa wake
Afu wewe mimi sio mbilikimo kama kaka yako mpare mshana.

Mimi ni tolu waylize mateja wote wa mwananyamala kuanzia studio wote wanangu.

Afu jirani yako daby ananijua sana nilivyokuwa na dunk dunk kwenye kikapu (basket ball) a level tanga.

Afu wewe andunje leo hii unaniita mbilikimoooooo???? Hahah afu jina la andunje limekukaa kweli yani. Hahah
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Cc BIGstallion alikua anaulizia mbilikimo ndo nani
 
Wewe umekoseaaa.
Ungemwambia mbilikimo ni mshana. Ili aende akamtanie au amcheke aone kama hataamka na busha la shingoni wanaliitaga goita
 
Afu wewe mimi sio mbilikimo kama kaka yako mpare mshana.

Mimi ni tolu waylize mateja wote wa mwananyamala kuanzia studio wote wanangu.

Afu jirani yako daby ananijua sana nilivyokuwa na dunk dunk kwenye kikapu (basket ball) a level tanga.

Afu wewe andunje leo hii unaniita mbilikimoooooo???? Hahah afu jina la andunje limekukaa kweli yani. Hahah
Daby ni kweli au anajisifia tu apa ili afuatwe pm?
 
Back
Top Bottom