Happy Birthday to me !

Happy Birthday to me !

U head prifekti zamaan sasa unafikir anakuogop tena....sahv unacheo gani tena hadi akuogope we adunje anakupa tu makwenzi[emoji3] [emoji3]
thubutu yake. tangu lini andunje acheze kikapu?
 
Ni siku njema kwangu na ya furaha sana, nimeongeza mwaka mwingine. Ahsante Mungu kwa upendo wako. Happy Birthday to me !

Sent using Jamii Forums mobile app
4ce29406ad28bcf600767ffb45ff0536.jpg
Heri ya siku ya kuzaliwa, na Mungu akupe maisha marefu
 
Back
Top Bottom