Baby Doll
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 4,716
- 21,530
Tarehe ya Leo, mwezi wa Leo mwaka 199.[emoji12]. Ndiyo siku niliyozaliwa[emoji64][emoji64][emoji64].
Asante sana Mama kwa kunileta Duniani, haikuwa kazi rahisi kunibebe tumboni miezi 9 , ila ni upendo tuu uliokuwa nao kwangu japo ulikuwa haunioni.[emoji7][emoji7]
Asante kwa kunikuza katika misingi yote ya KIDINI , KIMAADILI, na KIELIMU .
Mummy ulikuwa mwanamke WA NGUVU.
Mom ulikuwa JASIRI,
Mom ulikuwa my Hero.
Ooh nahisi kulia[emoji17][emoji17][emoji17]
REST IN PEACE MY CUTE WOMAN.
I [emoji176] YOU MAMA.
Napenda kumshukuru MUNGU kwa jinsi asivyo sinzia wala kulala hata dakika moja akaniacha Peke yangu.
Hivi nilivyo ni kwa neema zake tuu.
"Kama siyo mkono wa MUNGU uliokuwa pamoja nami ISRAEL na aseme sasa"
[emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322]
[emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512]
keep calm, its my birthday