Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
No
U should be mother
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
U should be mother
Mbna ulicheka y.
Mbna ulicheka y.
Huwezi kucheka tu pasipo sababu u know!Kwani kucheka dhambi?
Ongera bibie..pongezi zaidi ziwafikie wazazi wako![]()
Tarehe ya Leo, mwezi wa Leo mwaka 199.[emoji12]. Ndiyo siku niliyozaliwa[emoji64][emoji64][emoji64].
Asante sana Mama kwa kunileta Duniani, haikuwa kazi rahisi kunibebe tumboni miezi 9 , ila ni upendo tuu uliokuwa nao kwangu japo ulikuwa haunioni.[emoji7][emoji7]
Asante kwa kunikuza katika misingi yote ya KIDINI , KIMAADILI, na KIELIMU .
Mummy ulikuwa mwanamke WA NGUVU.
Mom ulikuwa JASIRI,
Mom ulikuwa my Hero.
Ooh nahisi kulia[emoji17][emoji17][emoji17]
REST IN PEACE MY CUTE WOMEN.
I [emoji176] YOU MAMA.
![]()
Napenda kumshukuru MUNGU kwa jinsi asivyo sinzia wala kulala hata dakika moja akaniacha Peke yangu.
Hivi nilivyo ni kwa neema zake tuu.
"Kama siyo mkono wa MUNGU uliokuwa pamoja nami ISRAEL na aseme sasa"
![]()
![]()
[emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322]
[emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512]
keep calm, its my birthday
Huwezi kucheka tu pasipo sababu u know!
Baby nani analeta kokoro humu[emoji49] [emoji49]Nilipenda kucheka sidhani kama inakatazwa humu Jf
Baby nani analeta kokoro humu[emoji49] [emoji49]
Ok [emoji8]Nilipenda kucheka sidhani kama inakatazwa humu Jf
keep calm, its my birthday
Huuuuu huuu haahaaUsitake nikutukane wewe mtu nani baby ako hapa. Nenda katongoze mtaani kwenu usizuzuliwe na avatar.
![]()
Tarehe ya Leo, mwezi wa Leo mwaka 199.[emoji12]. Ndiyo siku niliyozaliwa[emoji64][emoji64][emoji64].
Asante sana Mama kwa kunileta Duniani, haikuwa kazi rahisi kunibebe tumboni miezi 9 , ila ni upendo tuu uliokuwa nao kwangu japo ulikuwa haunioni.[emoji7][emoji7]
Asante kwa kunikuza katika misingi yote ya KIDINI , KIMAADILI, na KIELIMU .
Mummy ulikuwa mwanamke WA NGUVU.
Mom ulikuwa JASIRI,
Mom ulikuwa my Hero.
Ooh nahisi kulia[emoji17][emoji17][emoji17]
REST IN PEACE MY CUTE WOMEN.
I [emoji176] YOU MAMA.
![]()
Napenda kumshukuru MUNGU kwa jinsi asivyo sinzia wala kulala hata dakika moja akaniacha Peke yangu.
Hivi nilivyo ni kwa neema zake tuu.
"Kama siyo mkono wa MUNGU uliokuwa pamoja nami ISRAEL na aseme sasa"
![]()
![]()
[emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322]
[emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512]
keep calm, its my birthday
We mtoto hivi zawadi unapewa hapa au kule pm?
Tuliza kipute wewe, kumbe dume???[emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Usitake nikutukane wewe mtu nani baby ako hapa. Nenda katongoze mtaani kwenu usizuzuliwe na avatar.