Happy birthday to ME!

Tehteehhh......[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Umenichekesha sana amigo.....
Hivi ujui kwamba maisha na watu hubadilika ili kuishi maisha yenye unafuu kuliko jana eehhhhh.......
Nilisha amua kupumzika pembeni wallah
Ati nini!? Umeamua kupumzika pembeni, wewe? Tuliyekuwa tunakesha wote bar na kuamkia kuzimua wote?
Basi....wacha niamini maneno ya jirani yangu kuwa awamu hii si mchezo hata shetani kaokoka [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hahaahaaa......[emoji481] [emoji481]
Ebu pitia hapa makuti kwenye bar ya Mzee Siro, upige balimi mbili kabla haujaenda kupika....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ewaaaa...hayo ndo maneno swahiba! Ila balimi na hii njaa niliyo nayo zitanigaragaza ujue, niagizie kabisa na supu ya kongoro [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Ebu fanya ukuje....[emoji39] [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…