Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Ati nini!? Umeamua kupumzika pembeni, wewe? Tuliyekuwa tunakesha wote bar na kuamkia kuzimua wote?Tehteehhh......[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Umenichekesha sana amigo.....
Hivi ujui kwamba maisha na watu hubadilika ili kuishi maisha yenye unafuu kuliko jana eehhhhh.......
Nilisha amua kupumzika pembeni wallah
Basi....wacha niamini maneno ya jirani yangu kuwa awamu hii si mchezo hata shetani kaokoka [emoji1] [emoji1] [emoji1]