Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Mnaelewana lakini?Hahahah kwahiyo toka siku ile huniamini kabisa me ile siku nilijua haupo serious
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaelewana lakini?Hahahah kwahiyo toka siku ile huniamini kabisa me ile siku nilijua haupo serious
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji4]Tuping error jamani nimemaanisha siji
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli kabisa asante nitakujaYeap yeap. Lazima ruhusa ili kuondoa maswali....
Welcome tusemezane
Tunaelewana sanaaaaMnaelewana lakini?
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
OkkkyKweli kabisa asante nitakuja
Hahah!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] jina lako moja tu mengine ya ziada
Hahahha lile ndio jina lako sasaHahah!!!
Nimefarijika kwa hilo...[emoji308]Tunaelewana sanaaaa
Kabisaaaa. HahahaaaaKweli rafiki unanikumbuka kwenye shida na raha [emoji1]
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nimefarijika kwa hilo...[emoji308]
Neiba....Kabisaaaa. Hahahaaaa
Ndo hivyo mkuu...nilihisi vyuma vinaweza kutufanya A na a tusizitambue.[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Happybirth day Samuel, niko njiani 2 tabata nitawasubili huko.Happy birthday to ME.Thanks almighty God for another year nazeeka sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] #humble#charming#philanthropist#gunnerhardfan#
NB:Wazee wa chupa tutakua tunakiwasha mida ya wanga 40-40 tabata
Yaah! Ndo mie jirani niaje aiseeee ? [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Neiba....
poa poa mkuuHappybirth day Samuel, niko njiani 2 tabata nitawasubili huko.
Hata Mimi sijui maana yake mkuu, nimeandikiwa tu na muhudumu wa hapa Bar.... tehteehhhInaelekea hapa pana ujumbe mzito....tafadhali nitafsirie mkuu
Huna lolote wewe sema tu kwamba hujaandika hicho kilugha cha ulaya kwa akili yako bali kwa akili ya pombe. Uko bia ya ngapi sasa hivi 'nikujoin'Hata Mimi sijui maana yake mkuu imeandikiwa tu na muhudumu wa hapa Bar.... tehteehhh
Tehteehhh......[emoji12] [emoji12] [emoji12]Huna lolote wewe sema tu kwamba hujaandika hicho kilugha cha ulaya kwa akili yako bali kwa akili ya pombe. Uko bia ya ngapi sasa hivi 'nikujoin'