blea
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 379
- 114
Leo ni kumbukizi ya siku niliyozaliwa miaka kadhaa iliyopita siku kama ya leo nilizaliwa ... Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia kuishi miaka yote hiyo .. Nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea na kunitunza hadi pale nilipoweza kujitambua na kuanza kujitegemea .. Namshukuru mke wangu kwa kunikibali na kushirikiana na mimi katika maisha yetu haya .. Nawashukuru wale wote walionisaidia kwa njia moja ama nyingine hadi kufikia umri huu ... Happy Birthday to me...