Happy birthday to me

Happy birthday to me

Joselela

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
6,109
Reaction score
8,080
Hello guys habari za huko uliko!

Leo ni tarehe 09 June ambayo katika miaka kadhaa nyuma iliyopita nilizaliwa, napenda kumshukuru Mungu, wazazi wangu, rafiki zangu na wana jamii forums wote kwa kuishi kwa upendo na support yao licha ya tofauti ndogo ndogo kwani sote ni binadamu.

Hivyo nachukua fursa hii kuwaomba radhi wana jamii forums kwa yeyote ambaye nimemkosea basi tusamehane bhana[emoji16]

Wito wangu kwenu,
Tusihesabu na kufurahia umefikisha miaka kadhaa bali tukumbuke katika kila age umefikia mafanikio gani!

Ahsante..

UPDATE
Ni birthday yangu ingine Leo tarehe 9 June 2019
Tulio share same date heri ya Siku ya kuzaliwa kwenu...

Nawapenda wadau wa JF.
 
Eti Huko nyumba ya pili kuna nini mbona nasikia kelele?
Ni besdei ya TUYU, maana nasikia wanaimba epibesidei TUYU
Ahsante sana mchungaji bujibuji! Huku mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji23]
 
Back
Top Bottom