Happy Birthday to Me!

Heri siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa

Uishi miaka mingi kadri ya mapenzi yake muumba
 
hongera kwa siku yako ya kuzaliwa na uishi miaka mingi ukimtukuza MUNGU kwa kila jambo
 
Ni namna gani naweza kua mwanaume halafu nikakumbuka siku yangu ya kuzaliwa?
 
199x.... Duu upo form ngap?

Happy bday dogo
Kama 1990 huyu ni provider wa familia. Justin Bieber ni wa '93 au '94 ila ana kipato cha kusupplement bajeti ya Tanzania.
Dully Sykes ni wa '92 lakini si unamuona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…