Happy Birthday to Me!

Happy Birthday to Me!

hongera kwa siku yako ya kuzaliwa na uishi miaka mingi ukimtukuza MUNGU kwa kila jambo
 
Ni namna gani naweza kua mwanaume halafu nikakumbuka siku yangu ya kuzaliwa?
 
199x.... Duu upo form ngap?

Happy bday dogo
Kama 1990 huyu ni provider wa familia. Justin Bieber ni wa '93 au '94 ila ana kipato cha kusupplement bajeti ya Tanzania.
Dully Sykes ni wa '92 lakini si unamuona?
 
Back
Top Bottom