Happy birthday to me

Namshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwa kuniongezea umri mwingine, shukran nyingi zaidi zangu ziende kwake kwa kunipa uhai na afya njema neno langu kuu Alhamdulilahi alhamdulilahi alhamdulilahi...
Maskini ungalikuwa ni mwanamke hapa JF wapenda K za dezo wangalishajaza kurasa kama 100 sasa hivi! Kwa vile wewe ni dume mwenzangu kubaliana na hali ukipata hta wenzako 5 kukuwishi hepi besidei kubali matokeo! Cc Mzigua90, Demiss, Money Penny Raynavero , Miss Natafuta Mama Sabrina Evelyn Salt espy Heaven Sent Hajar LadyAJ
 
Heri ya kuzaliwa Swahiba Allah azidi kukupa maisha marefu Insha Allah.

Ila ukae ukijua unazidi kuzeeka. 😜😜😜😜

Kwa kuwa ni ghafla zawadi yangu ni dole gumba tu kwa siku ya leo hivyo we andika tu Swahiba. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…