Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Be blessed Boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami niliwaza km alivyowaza jamaaSi niliona alitengwa ila sasa uzi ushachangamka[emoji23] [emoji23]
Tumpe sapoti basiNami niliwaza km alivyowaza jamaa
Hahahaaaa. Isubirie tu Mtani ila sijui kama itatokea. 😂😂😂😂😂Safi Sana mtani, nami nasubiri siku yako maalum ,ufanye km hv
Basi itokee tukupe salam km hv lkn usijilipue ,mtaniHahahaaaa. Isubirie tu Mtani ila sijui kama itatokea. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaTumpe sapoti basi
Mmh. Kwa nini sasa ukawaza hivyo?Nami niliwaza km alivyowaza jamaa
Ujue sjawahi kucheka kama leoo[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
HahahaUjue sjawahi kucheka kama leoo[emoji23][emoji23][emoji23]
Utu uzima unakua umeona vingiMmh. Kwa nini sasa ukawaza hivyo?
Mimi mzima kabisaaaMarahaba mdogo wangu.
Nimeiona. Nilirudia kuisoma kama mara taty ndio nikaielewa.
Mzima lakini weye?
Wewe mtu chake acha basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Hahahaaa. Kwani uzi wangu wa Birthday hukuuonaga eeee.Basi itokee tukupe salam km hv lkn usijilipue ,mtani
Hahahaha,haya naachaWewe mtu chake acha basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SikuonaHahahaaa. Kwani uzi wangu wa Birthday hukuuonaga eeee.
Ulikuwepo mwezi wa sita. [emoji12][emoji12][emoji12]
(Hii sio lugha gongana kweli Mtani) [emoji85][emoji85]
Na kweli. Hongera zako.Utu uzima unakua umeona vingi
Umeanza siku vizurHahahaha,haya naacha
Hahahaaa. Uliona na Nguvu moja alivyomjibu naye. 😂😂😂😂Mimi mzima kabisaaa
Aisee hiyo comment nimecheka mpaka watu wamenishangaaa sana..