Oooh. Itakuwa hivyo basi kwamba uliuona ukaupita ukishangaa huyu muandikiwa uzi katokea wapi. ππππnaona hata aibu kusema hapa daah
sikuona wallah pia ilichangia na ile sababu ya siku ileeeeeeee mpaka ukaja kule pm that day sijui unakumbuka vile??
ntaongeza doz ya kula karoti na mchicha nione vizuri mwakani inshaallah
hapo sasa umeona eh??Oooh. Itakuwa hivyo basi kwamba uliuona ukaupita ukishangaa huyu muandikiwa uzi katokea wapi.
Oooh. Itakuwa hivyo basi kwamba uliuona ukaupita ukishangaa huyu muandikiwa uzi katokea wapi.
Hahahaaa. Ndiooo.hapo sasa umeona eh??
Huyo bila kuniandika huwa hajisikii rahaaMmmh. Mbona unanipa jukumu zito aisee.
Wakati kaandika kwenye huu uzi ungemquote tu bana umwambie mwenyewe sababu kikawaida ujumbe wa kupelekewa una mawili waeza zidishwa au kupunguzwa maneno.
Mdogo wangu Demiss njoo huku.
Duuh! Kuumbeee.Huyo bila kuniandika huwa hajisikii rahaa
Shukran Hajar kunitolea udhuru, umeniwakilisha vema mamiiππππ
Zakazaka ana ishu kidogo inamuweka busy Swahiba ila natumai akiimaliza tu utamwona humu.
CC. Sesten Zakazaka.
πππWachaaaaaa. Swahiba ila kwa kujilipua huku jamaani lol πππππ
Niikute basi hiyo keki maana unavopenda keki waweza jikuta unaniwakilisha kuilaππππUsijali Sesten. Weye tena. πππ
Ooh. Sawa.
Umeonaeee na ninavyoipenda bila kuukanya moyo naweza ila yote. ππππNiikute basi hiyo keki maana unavopenda keki waweza jikuta unaniwakilisha kuilaππππ
Hahahaaa ukiila weye inatosha Hajar maana na mi nashiba na napata ladha jukwajuπππUmeonaeee na ninavyoipenda bila kuukanya moyo naweza ila yote. ππππ
Utaikuta usijali.
Hahahaaaa. Lol.
Kazia tu HajarHahahaaaa. Lol.
Wacha na mie nitumie lile neno lako pendwa la Nakazia. πππ "ladha ya jukwaju" ππππ
Ila kesho jioni majira ya saa kumi na mbili hakuna kununaππππππ haya bana.
Pacha pacha pacha pachaaa.
Nina kesi na weye ujue. ππππ