Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Oooh. Itakuwa hivyo basi kwamba uliuona ukaupita ukishangaa huyu muandikiwa uzi katokea wapi. 😜😜😜😜naona hata aibu kusema hapa daah
sikuona wallah pia ilichangia na ile sababu ya siku ileeeeeeee mpaka ukaja kule pm that day sijui unakumbuka vile??
ntaongeza doz ya kula karoti na mchicha nione vizuri mwakani inshaallah
Nimeshakumbuka. Usijali Kaka. Tuombe uzima mwakani tena Insha Allah.