Happy birthday to me

Happy birthday to me

Yaaaaani pacha wangu kipenzi nilijua tu ntakuwa na kesi mwaya.

Na hata sjui naijibuje pacha wng mie jmn.

Yaani najifikiria kuandaa majibu ya kesi hata sjui niijibuje mwaya.

Lol.
Hahahaaa. Ndio utafute majibu Pacha sababu nikija na mlolongo wa kesi zangu sijui kama utachomoka.

Mzima lakini Pacha? Umeadimika.
 
Hahahaaa. Ndio utafute majibu Pacha sababu nikija na mlolongo wa kesi zangu sijui kama utachomoka.

Mzima lakini Pacha? Umeadimika.

Yaaaaani hata la kujibu thina mwaya.

Itabidi tu nikubali kesi na nilipe fine kwa kweli maana makosa yanaonekana wazi hata la kujitetea thina mwayego.

Yeah am good my lovely. Missing you sooo bad tu. More than the words can say mwaya.
 
Japo nimechelewa kuja huku lakini kama ni treni basi nimedandia behewa la mwisho na mimi nipo safarini kwenye treni moja

Niungane na wana JF wengine katika kukutakia heri na fanaka katika siku yako hii ya kuzaliwa

Mungu Akuwepesishie majambo yako na Aridhie na ayape baraka matendo yako mema ya tangia jana leo na sikuzote

Happy Birthday Mkuu Nguvu Moja
Ahsante kaka barikiwa mno Sesten Zakazaka:[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Yaaaaani hata la kujibu thina mwaya.

Itabidi tu nikubali kesi na nilipe fine kwa kweli maana makosa yanaonekana wazi hata la kujitetea thina mwayego.

Yeah am good my lovely. Missing you sooo bad tu. More than the words can say mwaya.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naona umekuwa mdoogo Pacha zaidi ya Piriton.

Nimefurahi kukuona Weekend hii. Uwe na Jumapili njema Pacha. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Back
Top Bottom