Happy birthday to me!

Usithubutu kuolewa kisa wenzio wameolewa olewa kwa muda wako ukifika!
Ndoa ndoano
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwenzetu mmoja akiujua mchepuko wa mmewe baasi whasap status ni mwendo wa picha za harusi na familia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!nkiona hvyo najua kishanukaaaa
Unacheka...wenzio sasa hivi wanapigwa..wengine wanauana
Wengine asubuhi mpaka jioni unakimbizana na michepuko
Status za watsap anachamba tu hapo utaona alivovurugwa

Mi sina roho ngumu ya kubeba haya..siwezi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…