Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Haha nawe mswahili...kila mkipishana "utaolewa lini"
Yuko pm ila wanaume wa Tz hawataki kypangiwa wala kuulizwa ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kuharibu muulize utanioa lini
Btw sina mzuka na ndoa kabisa
Wenzangu walotangulia ndoani yanayowapata wananiambia bota usije huku binadamu wanabadilika..
Wanatamani watoke ila hawawezi
Ngoja niishie hapa ntaandika gazeti bure[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Older than yesterday.... Younger than tomorrow.... Happy birthday to you mpendwa aggyjayHatimaye nimeongeza moja nyingine...ashukuriwe Mungu baba juu mbingyni kwa wema wake kwangu mpaka sasa!
Na shukrani zangu nyingi kwenu marafiki na Jamii forum kwa ujumla.sina mengi ya kusema ila neno moja tu linabeba yote..NAWAPENDA!
Happy birthday Aggyjay Alias Conchita.
View attachment 1029743
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije kujikwaa tuNaja mbiooooooooo
[emoji4][emoji4][emoji4]
Kuolewa muhimu, sisi Waafrika heshima ya mwanamke ni ndoa hata kama unamihela na mibiashara kama huna ndoa hapo kuna tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Older than yesterday.... Younger than tomorrow.... Happy birthday to you mpendwa aggyjay
Jr[emoji769]
Sawa mkuu..avha tuoneWe olewa tu, maisha ndo yalivyo kuishi na mwanaume ambaye anatabia zake na wewd unazo zako ni kuvumiliana, usiwe muoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume huwa tunataka kulinda wanaume wetu, kwa wanawake kero sana ukitaka kutoka home anataka ajue unaenda kwa nani na unarudi saa ngapi, au kama unamizunguko yako anataka ajue hata akisikia unaongea na simu anauliza nani huyo.
Happy birthday to you too darling
😂nimeshaacha nyagi, nagonga K Vant
Kuna mwenzetu mmoja akiujua mchepuko wa mmewe baasi whasap status ni mwendo wa picha za harusi na familia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!nkiona hvyo najua kishanukaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Happy birthday to you my future wife to be.Hatimaye nimeongeza moja nyingine...ashukuriwe Mungu baba juu mbingyni kwa wema wake kwangu mpaka sasa!
Na shukrani zangu nyingi kwenu marafiki na Jamii forum kwa ujumla.sina mengi ya kusema ila neno moja tu linabeba yote..NAWAPENDA!
Happy birthday Aggyjay Alias Conchita.
View attachment 1029743
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani leo Jumangapi??
HahahaaaKwani leo Jumangapi??
Afu kila nikitaka kukugongea LIKE, naulizwa "are you sure you want to Like" Hii ina maana umeniblock nisikugongee Like ili ulihujumu penzi letu changa?
Happy birthday to you my future wife to be.
Tupia picha yako mkuuHatimaye nimeongeza moja nyingine...ashukuriwe Mungu baba juu mbingyni kwa wema wake kwangu mpaka sasa!
Na shukrani zangu nyingi kwenu marafiki na Jamii forum kwa ujumla.sina mengi ya kusema ila neno moja tu linabeba yote..NAWAPENDA!
Happy birthday Aggyjay Alias Conchita.
View attachment 1029743
Sent using Jamii Forums mobile app