Happy birthday to me!

Happy birthday to me!

We olewa tu, maisha ndo yalivyo kuishi na mwanaume ambaye anatabia zake na wewd unazo zako ni kuvumiliana, usiwe muoga
Ukitaka kuharibu muulize utanioa lini

Btw sina mzuka na ndoa kabisa
Wenzangu walotangulia ndoani yanayowapata wananiambia bota usije huku binadamu wanabadilika..
Wanatamani watoke ila hawawezi

Ngoja niishie hapa ntaandika gazeti bure[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye nimeongeza moja nyingine...ashukuriwe Mungu baba juu mbingyni kwa wema wake kwangu mpaka sasa!
Na shukrani zangu nyingi kwenu marafiki na Jamii forum kwa ujumla.sina mengi ya kusema ila neno moja tu linabeba yote..NAWAPENDA!

Happy birthday Aggyjay Alias Conchita.

View attachment 1029743

Sent using Jamii Forums mobile app
Older than yesterday.... Younger than tomorrow.... Happy birthday to you mpendwa aggyjay

Jr[emoji769]
 
Kwanini nsimfuatilie sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume huwa tunataka kulinda wanaume wetu, kwa wanawake kero sana ukitaka kutoka home anataka ajue unaenda kwa nani na unarudi saa ngapi, au kama unamizunguko yako anataka ajue hata akisikia unaongea na simu anauliza nani huyo.
Imagine miaka ile hakuna simu za mkononi je wanandoa waliishije? Mbona walikuwa na utulivu zaidi kuliko leo, wanaume walikuwa wanachepuka na kurudi home na hakuna maswali mzee anarudi nyumbani na mchele, samaki nani atamuuliza alipokuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mi kuna mmoja kaolewa basi hata miezi sita haijapita aneka status "kama unaniona mi mavi na mie nakuona kinyesi tu"

Nlishangaa aisee
Kuna mwenzetu mmoja akiujua mchepuko wa mmewe baasi whasap status ni mwendo wa picha za harusi na familia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!nkiona hvyo najua kishanukaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye nimeongeza moja nyingine...ashukuriwe Mungu baba juu mbingyni kwa wema wake kwangu mpaka sasa!
Na shukrani zangu nyingi kwenu marafiki na Jamii forum kwa ujumla.sina mengi ya kusema ila neno moja tu linabeba yote..NAWAPENDA!

Happy birthday Aggyjay Alias Conchita.

View attachment 1029743

Sent using Jamii Forums mobile app
Happy birthday to you my future wife to be.
 
Hatimaye nimeongeza moja nyingine...ashukuriwe Mungu baba juu mbingyni kwa wema wake kwangu mpaka sasa!
Na shukrani zangu nyingi kwenu marafiki na Jamii forum kwa ujumla.sina mengi ya kusema ila neno moja tu linabeba yote..NAWAPENDA!

Happy birthday Aggyjay Alias Conchita.

View attachment 1029743

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupia picha yako mkuu
 
Back
Top Bottom