Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
- Thread starter
-
- #81
Long live sista mungu akutunze na akupe afya njema !!! Kapitie kwa poshyquen size yeyote unayotaka ntajalipa.
Ili tukupe like mkuu
Anhaaa eeeehhhHappy birthday to you my future wife to be.
Happy Birthday To You.
Sitauliza Conchita maana yake nini, naelewa.
Hongera kuzaliwa siku moja na Mimi.
Mungu awabariki walotuleta duniani.
Njoo PM pacha wangu
Conchita ni jina kama majina mengine duniani
Ni la asili ya latin america
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu aliiba pasiwedi yangu my love... pls ignore that postAnhaaa eeeehhh
Hivi unafikiri nina moyo wa chuma eeh
NimenunaKuna mtu aliiba pasiwedi yangu my love... pls ignore that post
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisaa!!!yaani hz wasap status zinaleta raha!!!Hahaha mi kuna mmoja kaolewa basi hata miezi sita haijapita aneka status "kama unaniona mi mavi na mie nakuona kinyesi tu"
Nlishangaa aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimenuna
Thank you rafiki..nashukuruHappy Birth Day pal.May you live longer to blow many candles.
Hebu muwowe tuu mwenye birthday yake!Ntakubembeleza najua utatabasamu tu. Ugonjwa wako naujua mwenyewe