Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
- Thread starter
-
- #121
Hahaha asante ɗaɗaƙeTeh ngoja nitest mitambo... Nyani Ngabu utanioa lini?
Happy birthday baby girl
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haaa kumbe ngabu sio wa kuoa ehHahaha asante ɗaɗaƙe
Ila hilo dubwana ulilolitest sio la ƙuoa ..suɓiri iwe muujiza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe ni jike, nlikuwa sijua aisee... Nmeshangaa sana... Dah..kumbe nlijinyima bahati bure. Happy birthday to you.Hatimaye nimeongeza moja nyingine...ashukuriwe Mungu baba juu mbingyni kwa wema wake kwangu mpaka sasa!
Na shukrani zangu nyingi kwenu marafiki na Jamii forum kwa ujumla.sina mengi ya kusema ila neno moja tu linabeba yote..NAWAPENDA!
Happy birthday Aggyjay Alias Conchita.
View attachment 1029743
Sent using Jamii Forums mobile app
Here...makubwa hayaKumbe wewe ni jike, nlikuwa sijua aisee... Nmeshangaa sana... Dah..kumbe nlijinyima bahati bure. Happy birthday to you.
Kumbe wewe ni jike, nlikuwa sijua aisee... Nmeshangaa sana... Dah..kumbe nlijinyima bahati bure. Happy birthday to you.
asante saaana. miss financial, home girl.Happy birthday Blank , naona umepata pacha mwenzio Aggy, muishi maisha marefuu
Sent using Jamii Forums mobile app