Happy birthday to me!

Happy birthday to me!

Usijifunze kwa walioshindwa. Wewe ukiona mtu anafaa zama ndani utakayoyakuta huko ndio ya kwako
Ukitaka kuharibu muulize utanioa lini

Btw sina mzuka na ndoa kabisa
Wenzangu walotangulia ndoani yanayowapata wananiambia bota usije huku binadamu wanabadilika..
Wanatamani watoke ila hawawezi

Ngoja niishie hapa ntaandika gazeti bure[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unacheka...wenzio sasa hivi wanapigwa..wengine wanauana
Wengine asubuhi mpaka jioni unakimbizana na michepuko
Status za watsap anachamba tu hapo utaona alivovurugwa

Mi sina roho ngumu ya kubeba haya..siwezi

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂nakuambia sio wote...!kweli kbs...khaa wanaochambaga status whsap mie huwa nacheka sana. hhahahaha
 
Back
Top Bottom