Happy birthday to me!

Happy birthday to me!

Hatimaye nimeongeza moja nyingine...ashukuriwe Mungu baba juu mbingyni kwa wema wake kwangu mpaka sasa!
Na shukrani zangu nyingi kwenu marafiki na Jamii forum kwa ujumla.sina mengi ya kusema ila neno moja tu linabeba yote..NAWAPENDA!

Happy birthday Aggyjay Alias Conchita.



View attachment 1029743

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe ni jike, nlikuwa sijua aisee... Nmeshangaa sana... Dah..kumbe nlijinyima bahati bure. Happy birthday to you.
 
Back
Top Bottom