Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Kwanza napenda kumshukuru Mungu muumba wa mbingu na ardhi, baba wa ulimwengu huu kwa kunipa nafasi ya kutimiza miaka kadhaa pia kunijaalia afya njema mpaka hapa nilipofikia .....namuomba mungu anizidishie baraka zake ,hekima na busara .
Niwatakie heri wale wote ambao wamezaliwa mwezi mmoja na Mimi..
Happy birthday to me
Sent using Jamii Forums mobile app
Niwatakie heri wale wote ambao wamezaliwa mwezi mmoja na Mimi..
Happy birthday to me
Sent using Jamii Forums mobile app