HAPPY BIRTHDAY TO ME

HAPPY BIRTHDAY TO ME

Kwanza napenda kumshukuru Mungu muumba wa mbingu na ardhi, baba wa ulimwengu huu kwa kunipa nafasi ya kutimiza miaka kadhaa pia kunijaalia afya njema mpaka hapa nilipofikia .....namuomba mungu anizidishie baraka zake ,hekima na busara .


Niwatakie heri wale wote ambao wamezaliwa mwezi mmoja na Mimi..

Happy birthday to me

Sent using Jamii Forums mobile app
unashangilia kuzeeka that is worse? Fanya mazoezi umri ni changamoto sana furahia mafanikio,kama yapo bado hayatoshi pull up your socks to the neck, masterdating will be useful To you
 
Back
Top Bottom