Amen .....asante dearHappy birhday dear, Mwenyezi Mungu akutunze
Zesh nikikamatwa na gongo ntakutaja ujue, [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ila inabidi ipimwe na wataalamu we tafuta speech ya mzee baba wakati yupo mtwara ile tarehe 2/3 kama sikoseiZesh nikikamatwa na gongo ntakutaja ujue, [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Miss u KK
Kaka BonnyHappy Birthday Mama
unashangilia kuzeeka that is worse? Fanya mazoezi umri ni changamoto sana furahia mafanikio,kama yapo bado hayatoshi pull up your socks to the neck, masterdating will be useful To youKwanza napenda kumshukuru Mungu muumba wa mbingu na ardhi, baba wa ulimwengu huu kwa kunipa nafasi ya kutimiza miaka kadhaa pia kunijaalia afya njema mpaka hapa nilipofikia .....namuomba mungu anizidishie baraka zake ,hekima na busara .
Niwatakie heri wale wote ambao wamezaliwa mwezi mmoja na Mimi..
Happy birthday to me
Sent using Jamii Forums mobile app