Hahahaha asante mkuuHappy birthday Zesh wa Criss....
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Asante mpenzi barikiwa sanaHeri ya siku ya kuzaliwa kwako. Ujaaliwe yaliyo mema.
Hahahaah asante sanaHBD kwako.
Nazipokea heri za waliozaliwa April kwa niaba.
Keki wapi sasa?[emoji39][emoji39][emoji39]
Huku mtwara dear njoo makonde club ahahhaahahahahaKeki wapi sasa?[emoji39][emoji39][emoji39]
Amiina kiongozi nyinyi pia mungu awape furaha siku zote za maisha yenuMimi na familia yangu tunakutakia kheri na fanaka, na Mungu akukinde uishi maisha marefu
Ooooh thanks madame....ubarikiweHappy birthday madam zeshchriss ...more life,more cash
Auntie nimekumissKeki wapi sasa?[emoji39][emoji39][emoji39]
KamoooKeki wapi sasa?[emoji39][emoji39][emoji39]
Marahabaaa mtoto mzuri. Hujambo?Kamooo
Miss you more darling.Auntie nimekumiss