[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85]Hahaha hahaha
Hana nguvu jamani
Vile huwa nakujibu kiupole leo unanikana[emoji134][emoji134][emoji134]Kweli vile.. Ni muujiza
Thank you dearHappy birthday to you
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
YaaaniVile huwa nakujibu kiupole leo unanikana[emoji134][emoji134][emoji134]
Kufunga na kusali siku 40 lazima abadilikeHahaha hahaha hahaha
Auntie ake mie sijazoea kuitikiwa vizuri kabisaaa!!!
Ashukuriwe anko@Mo11 kwa kweeli, ametenda muujiza
Auntie maswali gani haya sasa tunaulizana jamani[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikajua ndo alokuficha ujue... Asa wewe ulifichwa na nani eti auntie...
MO11
Hubby kumbe unanipenda eeh, hadi unaniombea[emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24]Kufunga na kusali siku 40 lazima abadilike
Kweli wewe ni zawadi yangu kutoka kwa muumba. Hata kifo hakitotutenganisha.Nilikuwa nipo maombezini
ubadilike
ila naona nimeomba sana
umebadilika sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akimtaja narudi tena maombezini
nitafanya lolote kwa ajili yakoHubby kumbe unanipenda eeh, hadi unaniombea[emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24]
Love you crazy.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]nitafanya lolote kwa ajili yako
HallelujahKufunga na kusali siku 40 lazima abadilike
DaaahAuntie maswali gani haya sasa tunaulizana jamani[emoji134]
Mimi sikufichwa nilikuwa shambani huko naandaa mashamba.
Wala hamna wa kumficha, wewe apo ndo unamuweza ujueakimtaja narudi tena maombezini
Kweli wewe ni zawadi yangu kutoka kwa muumba. Hata kifo hakitotutenganisha.
Nakupenda mpenzi.
nitafanya lolote kwa ajili yako
Woyoooo....[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nakupenda mume wangu.