HAPPY BIRTHDAY TO ME

HAPPY BIRTHDAY TO ME

Miss you more darling.
Jana nikakuita tusherehekee ushindi ukapotea jamni[emoji85][emoji85][emoji85]
Auntie nitakuja uliponiita ni wapi huko [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] hapa sio mahali pake pa huo ushindi wako
 
Auntie nitakuja uliponiita ni wapi huko [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] hapa sio mahali pake pa huo ushindi wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Auntie kwani ule ushindi wako siku ile ulipouleta palikuwa mahali pake?
 
Kwanza napenda kumshukuru Mungu muumba wa mbingu na ardhi, baba wa ulimwengu huu kwa kunipa nafasi ya kutimiza miaka kadhaa pia kunijaalia afya njema mpaka hapa nilipofikia .....namuomba mungu anizidishie baraka zake ,hekima na busara .


Niwatakie heri wale wote ambao wamezaliwa mwezi mmoja na Mimi..

Happy birthday to me

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe tumezaliwa tarehe moja banaa
Nimetafuta pacha wangu muda mrefu kwe ye ule uzi wetu maarufu wa tuliozaliwa siku moja sijakupata kabisa kule...


Happy Birthday To Two Of Us
[emoji524][emoji523][emoji502][emoji512][emoji513][emoji503][emoji1635]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom