Auntie nitakuja uliponiita ni wapi huko [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] hapa sio mahali pake pa huo ushindi wakoMiss you more darling.
Jana nikakuita tusherehekee ushindi ukapotea jamni[emoji85][emoji85][emoji85]
Nishajibu kivurugeSitaki kuona majibu yake mimi jamaniii!!
Mh yamekuwa hayaAje hapa atupigie kelele kama siku ileee waloshinda.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Hahaha hahaha
Hana nguvu jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaah
Mbona kama msimu ushapita auntie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Auntie nitakuja uliponiita ni wapi huko [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] hapa sio mahali pake pa huo ushindi wako
Nishajibu kivuruge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mh yamekuwa haya
Auntie mbona unanikumbusha vitu ambavyo sikumbuki yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Auntie kwani ule ushindi wako siku ile ulipouleta palikuwa mahali pake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Auntie mbona unanikumbusha vitu ambavyo sikumbuki yaani
Miss you babe!Poa my darling [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Kumbe tumezaliwa tarehe moja banaaKwanza napenda kumshukuru Mungu muumba wa mbingu na ardhi, baba wa ulimwengu huu kwa kunipa nafasi ya kutimiza miaka kadhaa pia kunijaalia afya njema mpaka hapa nilipofikia .....namuomba mungu anizidishie baraka zake ,hekima na busara .
Niwatakie heri wale wote ambao wamezaliwa mwezi mmoja na Mimi..
Happy birthday to me
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaha haha asante jamaniHappy birthday rafiki!....Happy birthday ijayo nitakuanzishia uzi mimi apa![emoji4][emoji4][emoji4]