Okay, ila akipita njiani akikutana na wadada anageuka kuwaangalia angalia, hadi ajue anavaa pants size gani??Hahaha, maana yake kama wewe ni forward na unaelekea kufunga, yeye atapisha ufunge bila bugudha.
Maana yake beki zake kwako hazikabi.
Au hiyo haihusiani na kuwa kipofu?