Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Na nisingekuja mkeshani?
Ningevumilia tu, ila ningeacha ujumbe ili ukiingia uusome.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nisingekuja mkeshani?
Ndiyo maana kila siku KingY ananiambia nijiandae anakuja kunichukua nikaishi naye[emoji23][emoji23]lazima kuna mtu kala mahari yangu.
Aisee ningejua nisingerudi hapaNingevumilia tu, ila ningeacha ujumbe ili ukiingia uusome.
Hahah na Mimi ngoja nikafute ile niliyoquote swali lako, kupoteza ushahidi.[emoji23][emoji23][emoji23] daah haya bwana ngoja nikafute swali langu
Una uhakika ukifuta ushahidi utakuwa umepotea?Hahah na Mimi ngoja nikafute ile niliyoquote swali lako, kupoteza ushahidi.
Ila uzuri wake ni Tajiri, Siku aliuliza upo karibu na wakala nikamwambia ndiyo..! Kilichofuata mpaka Leo huwa simpatii jibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha, fanya uchunguzi mdogo wangu.
Ndiyo, hapo ushahidi nakuwa nimeupoteza kabisa.Una uhakika ukifuta ushahidi utakuwa umepotea?
I doubtNdiyo, hapo ushahidi nakuwa nimeupoteza kabisa.
You should trust me..!I doubt
Okey... I willYou should trust me..!
Ila uzuri wake ni Tajiri, Siku aliuliza upo karibu na wakala nikamwambia ndiyo..! Kilichofuata mpaka Leo huwa simpatii jibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤲AmeenMay the success of this life never miss my way; I ask God to increase me in knowledge and bless me with fruitful children!