OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Kumbe katoto.
Wa darajani nilijua ni wazee tuu kumbe hadi watoto??? Ndiyo maana kelele nyingi.
Happy birthday Ollachuga
HahahaHongera kwa kumbukumbu nzuri, bila kusahau nikupe pole in advance kwa kumaliza nafasi ya 10 msimu huu.
H.b.d "kijana baba".

Hahahaha na winga kutoka sayari nyingine Odoi.Hahaha
Wana straiker mmoja anaitwa Tammy Abraham,..hahaha!!
Hbd man
Sema mtiba shugwa hii klabu ni ya nchi gani??
Hahahahah siwachukii.Hahahaha Mkuu unawachukia wa Darajani? Unashindwa hata kuwachukia wa Etihad kweli?
Ahahahah hii sasa kambaHahahahah siwachukii.
Ila walikuwa wasumbufu sana misimu kadhaa iliyopita.
Sasa wa Etihad nikunong'oneze tuu ni "mamluki" wa darajani ndiyo wamekimbia kwao wakakimbilia Etihad.
Usimwambie mtu.